Katika pitapita zangu nimepata hii ikabidi nikusogezee mtu mkubwa hebu icheq kwanza hii, Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao; karibu Mtembezini uelewe kwa kwa kina vitu vinavyoweza kukusaidia kutambua tabia za watu husika.
1.Wasichana WAFUPI wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
2. Wasichana WAREFU huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui kubembeleza hata kidogo.
3. Wasichana wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS NA KITEMBE, hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.
4. Wasichana WANENE huongoza kwa kuwa na MAPENZI YA KWELI yaani akipenda amependa kisawasawa.
5. Wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni WABISHI sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
6.Wasichana wenye NGOZI NYEUSI wanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe.
7. Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe wengi wao huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kuliko wanaume weusi.

  
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz  , twiter@edonetz  , inst@edonetz_blog  na  youtube@edone tv
 
Top