Ni wazi
kwamba wanaume wengi hawapendi kutumia kondomu wanapofanya mapenzi.na wengi huwa na sababu tofauti tofauti na leo nimekuandalia hizi hapa.
Hizi hapa sababu
wanazotoa mara nyingi;
Mwili wangu
huathiriwa na ulimbo unaotengeneza kondomu (latex)
Ni sababu ya
kuzingatiwa lakini kwanini anataka kushiriki ngono na mtu asiyejua hali yake
pasipo kondomu?
Mimi ni msafi, sijaathirika
Kuvaa condom
haimaanishi wewe ni mchafu bali ni kujikinga na magonjwa ya kuambukizwa ukisema
wewe msafi je? Thibitisho liko wapi? Anajuaje wewe ni msafi?
Kwani huniamini?
Kutumia condom kuna
maana nyingi na faida nyingi akisema kwani huniamini wewe Mkumbushe kwamba
ndiyo ngoma yenu ya kwanza hivyo suala la kuaminiana halipo.
Haileti raha
Naam, walio wengi
upenda kuongelea hili la kwamba haileti raha hila hana shughuli na wewe iwapo hataki kutumiza
sharti hilo.
Desturi
Walio wengi
wanatumia sababu hii lakini Hii ndiyo sababu ya kipuuzi kabisa, eti desturi na
imani yake haimruhusu kutumia kondomu.
Haraka upesi dada,
ondoka.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv