Asilimia kubwa ya
watu hawaamini kuwa kuna mtu anayeweza kutumia mkono wa kushoto kutekeleza
baadhi ya shughuli zake za kia siku tena kwa kiwango kikubwa
Wengi hujaribu kuhisi
kuwa pengine watu wanaotumia mkono wa kushoto kwa kufanya shughuli zao huwa
wanajifunza matumizi ya mkono huo,wengine huwa wanafika mbali na kujaribu
kuhisi huenda labda mtu huyo atakuwa ameumia mkono wa kulia hivyo ameamua
kutumia mkono wa kushoto. Sina shaka nawe utakuwa unayajua mengi sana juu ya
mkono wa kushoto na kazi zake,lakini leo nitoshe kukuletea mambo 11 ambayo
hukuwa unayajua juu ya mkono wa kushoto.
1,Asilimia 10 ya wtu
duniani kote wanatumia mkono wa kushoto,
2,Baadhi ya watu
maarufu duniani ambao hutumia au walitumia mkono wa kushoto kufanya shughuli
zao ni pamoja na Napoleon,Da
Vinci,Isack Newton,Bill Gates,Oprah,Barack Obama na Jimi Hendrix.
3.Inasemekana asilimia kubwa ya watu
wanaotumia mkono wa kushoto huwa na IQS 140 zaidi ya wanaotumia mkono wa
kulia,hali kama hiyo ipo kwa wacheza soka pia wanaotumia mguu wa kushoto huwa
na madhara makubwa uwanjanai kuliko ambao wanatumia mguu wa kulia.
4,Asilimia 40 ya watu
waliozaliwa na magonjwa ya afya ya mwili au akili huwa wanatumia mkono wa
kushoto
5,Kila tarehe 13 ya
mwezi wa nane huazimishwa siku ya matumizi ya mkono duniani kuanzia mwaka 1996.
6.watu wanaotumia
mkono wa kulia kula chakula hupendelea kutafuna chakula hicho kwa meno ya
kulia,wakati wanaotumia mkono wa kushoto pia hutumia meno ya kushoto kutafuna
chakula
7,Zaidi ya watu 2500
wanaotumia mkono wa kushoto huuawa kila mwaka na watu wanaotumia mkono wa kulia
kutokana na kutumia vifaa vya watu wa mkono wa kulia.
8,Mtoto anayekua
hutumia mkono wa kushoto mara nyingi zaidi kuliko kawaida.
9,Asilimia 39 ya watu
wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja hupendelea kutumia mkono wa kushoto
kuliko wa kulia.
10.Watu wengi wanaotumia mkono wa kushoto
hukabiliana na msongo mkubwa wa mawazo.
11.Watu wanaotumia
mkono wa kushoto huingiza pesa nyingi zaiodi ya watu wanaotumia mkono wa kulia
watafiti wamebaini.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv