Kama wewe ni mwanaume na una sifa
hizi, basi fahamu kuwa sayansi imethibitisha kuwa una mvuto kwa wanawake
1. Sura Nzuri
Muonekano mzuri kwa mwanaume huwa ni
kigezo cha kwanza katika maamuzi ya mwanzo kwa mwanamke lakini hata hivyo huwa
ni katika mapenzi ya muda mfupi tu zaidi ya yale yanayodumu.
2. Ucheshi
Ucheshi kwa mwanaume si muhimu tu
kama wenyewe bali humfanya mwanaume aonekane mwenye akili.
3. Mwanaume anayetoa msaada
3. Mwanaume anayetoa msaada
Wanawake hupenda wanaume wanaotoa
msaada, wasio wachoyo pale wanapotafuta uhusiano wa muda mrefu.
4. Utajiri/Uwezo wa kifedha
4. Utajiri/Uwezo wa kifedha
Ile imani kuwa wanaume wenye uwezo
wana mvuto zaidi kwa wanawake ni kweli. Utafiti ulionesha kuwa wanawake huona
wanaume wanavutia zaidi pale wanaposimama tu kwenye magari ya kifahari au
nyumba, hata kama vikiwa sio vyao.
5. Umri Mkubwa
Wanawake hupenda wanaume wenye umri
mkubwa kwasababu mara zote huamini kuwa wamekusanya vitu vingi na uzoefu katika
maisha.
6. Ndevu
Ndevu zimekuwa zikichukuliwa kama
zinazokera na kuvutia kwa wakati mmoja – yote hutegemea na mapenzi ya mtu.
7. Wagumu
Wakati utafiti wa zamani unasema
kuwa wanawake huvutiwa na wanaume wanawaopenda, tafiti mpya zimedai kuwa
kujifanya mgumu, kutojali kunawavutia wanawake. Kifupi, wanaweza kutaka kile
wanachodhani hawawezi kupata.
8. Tafiti zinaonesha pia kuwa wanaume
wenye mbwa huwavutia wanawake. Duh!
9. Wanawake kwenye tamaduni zote
wameonesha kuvutiwa na wanaume wanaovaa rangi nyekundu
10. Wanawake
wamethibitishwa pia kuwapenda wanaume majasiri na wasiogopa
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv