Kumekuwa na sintofahamu juu ya muda
gani ambao unatumika katika tendo la ndoa na wengine udhani hawana nguvu za
kiume hila ukweli uko hivi
Ni muda gani tendo la ndoa Au ni
muda gani watu wanaofanya mapenzi hutumia kumaliza?
Na sasa wanasayansi wamekuja na jibu
halisi kuwa kitendo cha ngono hudumu kwa dakika 5.4. Wanasayansi hawa
wanazungumzia ule muda ambao mwanaume na mwanamke huwa tendoni na kufikia
kileleni, bila kuweka muda wanaotumia kushikana, kubusiana au kuchezeana.
Wanasayansi hao walifanya utafiti
kwa couple 500 na kuwaweka stop watch pale tu kitendo kinapoanza hadi pale
mwanaume anapoutua mzigo. Utafiti huo ulibaini kuwa kitendo hicho hudumu popote
kuanzia sekunde 33 na 44 huku muda wa wastani ukiwa dakika 5.4.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv