Kwanza jiweke nadhifu
Hii
ni muhimu katika yote kama wataka mwanaume akutambue. Mwanaume kitu cha kwanza
anachokiangalia huwa ni mwonekano wa mwanamke. Mwanaume anapoingia katika
chumba, inamchukua sekunde ndogo zana kuamua iwapo anataka kuapproach mwanamke
mfani au la. Kama umevalia vizuri na unapendeza, itarahisisha kazi yako sana.
Pili usionekane kama una
shughli
Usijishughlishe
sana na simu yako, ama kitabu chako, ama kitu kingine. Unaweza kuwa umeboeka na
unajaribu kujiweka buzy, lakini fursa haiweza kuwa hivi, kufanya hivyo kunaweza
kumfanya mwanaume anayetaka kukuapproach kuona ya kuwa uko buzy sana kiasi cha
kuwa atashindwa kukufuata kwanu unaweza usiwe interested na maongezi yake.
Tatu ni kuwa mko ligi
moja?
Hii
inakinzana na hatua ya kwanza, lakini inaweza kuwa na tatizo iwapo unaoneka
kama uko ligi tofauti na mwanaume. Kama utaoneka amakujiweka mtu wa hadhi ya
juu wanawake watapenda kukuangalia lakini hawatakuaproach. Hii ni kwa sababu
wanaume wengi hawapendi kudhalilishwa wakati wanapoamua kukuapproach....kiufupi
ni kuwa ukiwa unavutia kupindukia wanaume watakuogopa. Lakini tena, kuna wale
wanaume ambao wanajiamini kupindukia ambao wanajua thamani ya kukuapproach, nao
ni wanaume alfa, wanaume diriki, na pia wale wanaume mapleya.Kama wataka kuteka
atenshen ya mwanaume mzuri wa kawaida lakini anayeogopa kukuapproach, jaribu
kutumia mbinu ya kuwa jamili na watu wanaokuzunguka. Huwa inasaidia.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv