Mapenzi ni utundu
ambao kila mmoja akiamua kujifunza toka kwa mwenzie ataweza kukata kiu ya mwandani
wake. Tangu kuumbwa kwa dunia haijapata kusikika eti mtu kafundishwa namna ya
kukata kiu ya mkewe kitandani bali wengi hufundishwa namna ya kuishi ili muweze
kwenda sawa.
Natamani
ungekuwa na kitu fulani,
hakuna kitu kinachomkosesha amani mwanamke pale anapoambiwa kitu
kinachokosekana kwenye mwili wake, mathalani aambiwe mbona una makalio madogo,
kwanini miguu yako myembamba, mbona mwili wako una makovu sana. Yote haya
yanamfanya ajisikie aibu na ikitokea akashindwa kujizuia anaweza kukutolea
maneno machafu na hata akaamua kuachana na wewe.
Sio hivyo,
kwa kawaida wanawake ni viumbe wenye hasira za karibu na mara
nyingi maneno madogo madogo yanaweza kuwaondoa ama kuziondoa kabisa hisia
muwapo kitandani. Kwa mfano unamwelekeza akaeje ama alale vipi ili muweze
kufaidi utamu wa tendo ikatokea ukamwambia sio hivyo, unafanya nini? maneno
haya yanaweza kumvunja nguvu na kuondoa munkari wa mapenzi hivyo kuwa
makini usijekosa kuupata utamu. Mwelekeze kwa lugha laini za kimahaba mtaweza
kuogelea kwa pamoja kwenye bahari ya ‘malovedove’.
Nilizoea
kufanya hivi,
kitendo cha kumwambia ama kumwonesha mpenzi wako wa sasa kwamba
mpenzi wako wa zamani alikuwa na kawaida ya kukufanyia hili na lile litamfanya
akose amani na pengine kushindwa kabisa kutoa ushirikiano wa kutosha wakati wa
kungonoka. Kama mwanaume rijali hupaswi kueleza mambo ya kusisimua uliyokuwa
ukifanyiwa na mpenzi wako wa zamani mlipokuwa mkidooo… endapo
utaamua kusema itamfanya akose amani na kuwa mwenye wivu wa kupindukia wakati
wote.
Sina muda
wa kutosha leo,
jambo la msingi ambalo wanaume wanapaswa kufahamu ni wanawake
wanapenda kuoneshwa mahaba tena kwa kutengewa muda ambao ataridhika na roho
yake kuwa kwatuu… sasa ikatokea wewe unaonesha kuwa ‘busy’ na mara
nyingi umekuwa mtu wa kuwa na ‘excuse’ itamfanya kutokukutilia maanani kiasi
cha kumfanya awaze kuchepuka.
Hujafika
kileleni?
Anaudhika na kukereka sana pale mwanamke anapoulizwa kama
amekwishafika kileleni kwani swali hilo linaonesha kama linamdhalilisha na
kumlazimisha kusema hata kama hajafika. Kwa mfano ukamuuliza hujafika
tu kileleni? Anaweza kukujibu kwa ghadhabu ilimradi tu mmalize
muondoke sababu ukweli ni kwamba sio jambo jepesi kukata haraka kiu ya
mapenzi kwa mwanamke ndio maana mwanaume anapaswa kuwa makini na kutambua
sehemu ambazo mwanamke akishikwa atanyegeka ili afike kileleni.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv