Ukiingia katika mitandao ya kijamii utaona picha nyingi sana huku watu wengine wakionekana kushindana katika upigaji picha zao yaan (selfie) yaani picha za kujipiga mwenyewe.
Sasa leo nimekuletea huyu mwanadada ambaye amekuwa akiishangaza dunia kwa kupiga picha (selfie)  za hatari zaidi duniani.

Mrembo huyu kutoka Russia, Angela Nikolau ambaye amejipatia umaarufu akionekana amopozi katika madaraja marefu, mapaa ya nyumba, majengo marefu sana huko Moscow ,hong kong, na china.. picha zake zimekuwa tofauti sana na nyingine duniani kwani maeneo hayo watu walio wengi hawawezi kuthubutu kukaa sehemu hiyo…
hizi ni miongoni mwa picha hizo..
 


JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW

fb@edonetz  , twiter@edonetz  , inst@edonetz_blog  na  youtube@edone tv
 
Top