Daktari Zaki Almallah , mtaalam wa
vibofu vya mikojo anasema tabia ya watu wazima kuwa vikojozi
inarithishwa, kama baba au babu alikuwa kikojozi basi kuna uwezekano wa
asilimia 40 kwa mtoto au mjukuu kuwa kikojozi ukubwani.
Wataalam katika Hospitali ya
Birmingham nchini Uingereza wanasema sababu nyengine ni kutokomaa kwa tezi ya
pituitary gland inayopatikana ndani ya ubongo chini ya sikio.
tezi hii hutoa homoni yake na
chembechembe zake wakati wa usiku hivyo kuzuia utengenezaji wa mikojo. hivyo
tezi hiyo ya pituitary gland ikiwa dhaifu au haikukomaa basi chembechembe hizo
zitatuma ujumbe kuwa mikojo zaidi itengenezwe, hivyo basi mtu kuwa na balaa ya
kujikojolea akiwa amelala maana ni lazima zitoke.
Mtu kuwa na stress,au msongo kuna
weza kumsababishia mtu huyo matatizo ya ukojozi.
ILI KUJITIBU TATIZO HILI
Zipatikane kwato za mbuzi na
mgonjwa aziunguze moto na azisage vizuri apate unga, baada ya hapo
changanya unga huo na asali safi ya nyuki kwa uwiano ulio sawa na asubuhi kabla hajala chochote ale kijiko1cha
chakula,mchana na jioni pia akienda kulala.
afanye
hivi kwa siku 11 atapona na kama ni mtoto basi atumie kijiko cha chai.
Mafuta ya mzaituni
Kama
mwanao ana tatizo hilo, chukua mafuta haya yapashe kidogo kisha mlaze mwanao,
umpake yakiwa na vuguvugu chini ya kitovu kisha umfanyie masaji.
Mdalasini
Hakikisha
mwanao anatafuna mdalasini kwa siku hata mara moja, kama hawezi kuutafuna
chukua unga wake, changanya na sukari kisha weka kwenye mkate wenye mafuta mpe
mwanao.
Matunda damu
Mpe mwanao
glasi ya juisi ya matunda damu saa moja kabla ya kulala, tumia tiba hii kila
siku angalau kwa wiki kadhaa. Kama ataendelea, mpe nusu kikombe kwa siku mara
tatu, iwe kama dozi ya vidonge.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv