Waweza kuthani kuona Somo hili linaweza kukushangaza msomaji wangu, kutokana na
ukweli kwamba ufanyaji mapenzi, hauwezi kuupangia muda, lakini katika hali
ya kawaida ipo tofauti kubwa ya kufanya mapenzi, mchana, usiku,
alfajiri na nyakati za joto na kelele nyingi za wapita njia.
Utofauti huu ndiyo unaweza kutofautisha hali ya kufurahia tendo
kati ya mtu na mtu. Hakuna ubishi kwamba watu wanaofanya mapenzi nyakati
za joto, hupoteza msisimko wa tendo si tu kwa sababu ya kuchoka
haraka bali hata kwa kukinai harufu ya jasho liwatokalo mwilini.
Sababu hiyo na nyingine nyingi, zitokanazo na kutojua muda
sahihi wa kufanya tendo la ndoa, zimewafanya wapenzi wengi kushindwa
kuridhika au kupata raha stahili wakati wa kujamiiana na wapenzi wao,
jambo ambalo linanipa sababu ya kufundisha muda sahihi wa kufanya mapenzi
ni upi?
Hata hivyo, muda huo ulikubaliwa na wengi si tu kwa sababu una
utulivu wa hali na mazingira, lakini pia ni wakati ambao hisia za
mapenzi huamka kwa watu ambao pengine walikuwa na majukumu ya kazi
mchana kutwa. Ukichunguza utabaini kuwa wanandoa wengi nyakati hizi
huwa faragha na hata mafumanizi mengi hutokea kati ya saa 3 na saa 4
usiku.
Inaelezwa kwamba mwanaume hufikiria tendo la ndoa mara 13 kwa
siku takribani mara 5,000 kwa mwaka tofauti na mwanamke ambaye
anatajwa kufikiri mara 5 kwa siku na 1,825 kwa mwaka, mawazo ambao
yote yamebainika kutekelezwa zaidi nyakati za usiku kwa muda huo
niliotaja.
Ifahamike kuwa kinachozungumzwa katika makala haya si uwezo wa
kufanya tendo la ndoa, bali ni matokeo sahihi. Watu wengi wanaweza
kulima, kufanya kazi, kufanya biashara, kucheza na hata kusoma nyakati
za joto, baridi sana na hata usiku na wakapata matokea, lakini
kitalaamu litakuwepo swali wamepata matokeo mazuri, wamefurahi sawa na
wale
waliochagua muda sahihi?
waliochagua muda sahihi?
Huu ndiyo ujumbe wangu kwa leo, ni vema wapenzi wakafanya
uchunguzi na kufahamu ni muda gani mzuri kwa mazingira ya kwao kufanya
tendo la ndoa, vinginevyo wanaweza kufanya lakini wakajikuta wanakinai
mapema au wakapata raha kidogo
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv