katika kuzidi kukusogezea mada za aina mbali mbali edonetz na leo nimeona nikusogezee hili.
tumezoea kuona na kujua kwa walio wengi madhala ya kula vyenye mafuta mojawapo ikiwa ni kusababisha unene,presha nk. hila kuanzia sasa unatakiwa kujua kawa si madhala hayo tu. kiafya ni vizuri usitumie mafuta ya kupita kiasi ni maanisha mafuta mengi mwilini machache yameshagundulika mengine bado ila kwa jua na hili likusaidie kiafya..
Kwa mujibu wa utafiti
ulioendeshwa na wataalamu wa lishe nchini Marekani, umebainisha
kuwa sio kusababisha maradhi ya unene uliokithiri bali mafuta pia huathiri
ubora wa usingizi.
Wataalamu hao katika
chuo kikuu cha lishe bora Colombia mjini New York alibainsha kuwa vyakula vya
mafuta mengi na sukari huathiri kwa kiasi ubora wa usingizi katika matabaka
yake ambapo mwanadamu hupumzikisha mwili na ubongo.
Utafiti huo
uliendeshwa kwa kutumia watu kadhaa waliojitolea ambao umri wao ulikuwa ni
miaka 35 ambapo walitumia muda wa siku 5 katika maabara ya chuo kikuu hicho.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv