Miongoni mwa shubili katika mapenzi ni wenza kusalitiana, kwa
mtu anaingia kwenye mapenzi akiwa anaimani kuwa mpenzi wake anampenda kwa
dhati, sasa ni mambo gani ni kichocheo cha usaliti edonetz inakuletea..
Kutokuvutia
tena
Moja ya sababu iliyopelekea kukubali kuoa au kuolewa na huyo mwenzi wako, kuna baadhi ya vitu ulivutiwa navyo ndio akawaacha woote na kumchagua huyo. Vitu hivyo usipovizingatia na kuvi “maintain” vitasababisha hali ya kukinai kwa mwenzi wako na mwisho kuanza kuvutiwa na wengine kule nje.

Kutokujali
tena kuwa unaongezeka unene, kubadilika unavyoonekana.
Kila mwanandoa ana “test”
yake ya mvuto kwa mwenzi wake, Kuna mwingine alikupenda kwasababu ya wembamba
wako sasa unapojiachia na kuwa mnene ila hamu ya kuendelea kuvutiwa nawe
inapungua na baadaye inakwisha na kusababisha aanze kuchungulia nje.
• Kuna mwingine alikupenda kwasababu ya unene au kujazia katika
maeneo Fulani Fulani. Sasa mwili ukiporomoka unapoteza ule mvuto tena na
kumfanya apoteze hamu ya kuwa na wewe na kumfanya kuanza kuchungulia chungulia
nje.
• Ni vizuri kujali afya yako na kujua ni vitu gani vinavyomvutia
mwenzi wako kutoka kwenye mwili wako na ujitahidi kuvitunza “maintain” ili
kuendelea kudumisha ule mvuto kwa mwenzi wako.
Kupungua
kwa hamu ya tendo la ndoa.
Tendo la ndoa ndio mhimili unaoishikilia ndoa. Ukiona hamu ya tendo la ndoa imepungua kwa mwenzi wako ujue majanga yanakunyemelea, Kufanya tendo la ndoa mara chache miongoni mwa wanandoa ni ufa wa kubomoa ukuta na ulinzi wa ndoa.

Kutokwenda
na wakati haswa katika mavazi.
Hili hasa ni kwa wanawake, Kabla ya kuolewa ulikuwa unajitahidi
sana kujilemba na kujitunza kila wakati ulikuwa safi na nadhifu. Mumeo kila
akikuangalia mpaka haamini kama ni wewe aliyekuoa ukiwa mrembo na wa kuvutia,
Unavaa nguo nzuri tu pale unapotoka kwenda kanisani au mtoko maalumu.
Kukosekana
kwa mawasiliano,
Mawasiliano yana husisha pande zote mbili kwa anayetoa na
anayepokea, mathalani katika vitu vya kawaida kama kujuliana hali pindi
mnapokuwa mbali hasa wakati wa kutimiza majukumu ya kila siku, mfano meseji ya
kumuuliza mwenza wako ameshindaje na anaendelea vipi katika utekelezaji wa
majukumu yake, hali ikibadilika humfanya mwenza kufikiria tofauti na kuona
humjali hatimaye kuwa msaliti.
Kushindwa
kuendeleza yale yanayompendeza kila mmoja wenu.
Mnakubaliana mipango kama wanandoa lakini utakelezaji unakua mgumu,
Mmoja anakuwa tayari kutekeleza na mwingine anashindwa
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv