Wazungu wengi ambao
ndio walisambaza dini huku Afrika kwa njia ya Umishenari wanaamini kwamba Dini
ni jambo la kufikirika na kuogopesha tu ili kupunguza maovu duniani na
kuwanyima watu kula bata huku wakiwakamua mapato yao kwa njia ya kinachoitwa
zaka na sadaka….
Utafiti Unaonesha
kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, yafuatayo ni Mataifa
yasiyoamini uwepo wa Mungu (Atheism).
1. Wachina Asilimia 75 hawana dini
kutokana na kuaminishwa na Mao Zedong kuzama kwenye Ukomonist mwanzoni mwa
miaka ya 70. Wachina wengi wanaamini katika ‘CONFUCIUS’ huku wakila chochote
kilicho mbele yao, hata hivyo hali hii inasemekana kusababishwa na wingi wa
watu nchini humo usioendana pengine Tanzania tunachagua kwa sababu bado tupo
wachache na chakula kipo tele huku tayari Raisi wa Malwi akiamuru watu wale
kula panya na panzi kwa kuwa wanapatikana kwa wingi nchini humo
2. Wajapani wengi hawajielewi na wengi wao wana dini zaidi ya moja yaani
unaweza Ijumaa ukamkuta Msikitini, Jumamosi Usabatoni na Jumapili pia anazama
kanisa lolote.
3. Vietnam Raia wengi
wanaabudu babu zao, yaani siku akijisikia kuabudu anakwenda kwenye kaburi la
Babu yake anakula gombo na kurudi nyumbani. ….Ilihali Wahindi wengi wakiabudu
wanyama aghalabu Ng’ombe kama Mungu wao
4. Jamhuri ya Czech ……wao wanaamini zaidi
kwenye Ukomunisti, ni asilimia 21 tu wanaoamini uwepo wa Mungu….Hii pia
imechangiwa na makatazo ya watawala wa kikomunisti tangu enzi za akina
Milosovic ingawa wengi wa walioulizwa ni kama walikua hawajielewi kama wana
dini ama la
5) Sweden na Denmark. asilimi 17 tu
ndio wanaamini kwamba Mungu Yupo na hii inawarahishia kutoishi bila hofu na
kutenda dhambi yoyote waitakayo……….Waswidi na Wadenish wengi wamegeuza baa kuwa
ndio ‘makanisa yao’
6. United Kingdom (40% wenye dini) na
Ufaransa (41%) na kwingineko kwenye nchi nyingi tu za ulaya magharibi na
mashariki…Wanawake na Wazee tu ndio husali huku vijana wengi wakiendelea kula
bata na kugeukia ushoga na usagaji ……Kuna marafiki zangu ni wafaransa hakika
hawajui kitu chochote kinachohusiana na Mungu, si biblia wala Quran huwa
hawaabudu kitu chochote
7. Hongkong pia ni moja ya nchi yenye
wapagani wengi duniani (52%)……………nyingine zikiwa ni Norway (39%), Austria,
Israel, …..
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv