Kuvunjika kwa mahusiano yoyote ni Maumivu, iwe
ni mume, mpenzi au mke, na hii Inategemea Umri, na Mazingira, Kabla ya
kuamua kuachana kwa sababu yoyote ile inabidi muwashirikishe wakubwa.
Na
je Ulishawahi kujiuliza ni madhara yapi
hutokea pindi wapenzi wanapoachana
ghafla?
HASIRA, Huwezi kutoa maamuzi ya kuachana na mke/mume au mpenzi
hupelekea hasira Kukataa Ukweli, iwe mke au mume, pale mnapofikia kwenye
hatua ya kuachana au kutengana mmoja kati yenu inamuia vigumu kupokea
Ukweli kabisa.
KUPIMA MIZANIA, yaani mtu anakuwa kama anakubali kupokea kibuti,mara anakuwa
mgumu kupokea ukweli kuhusu kuvunjika kwa mahusiano yako, Msongo wa
Mawazo, hapa mtu anaweza kukosa usingizi, kukosa hamu ya kula na inaweza
ikamsababisha mke/mume au mpenzi kufanya vitendo vibaya hadi wengine
wamekuwa wanakatisha mahusiano.
KUKUBALI, akili na moyo hupokea polepole jinsi ya kupokea taarifa
ya kuachana na mwenza wake,lakini hapa kutokana na hasira kukata
ukweli, kupima mizani na kukubali matokeo ,kwahiyo kumshtukiza itamuathri kisaikologia
na kupelekea kwenye UADUI.
Usilazimishe mahusiano kama mwenza wako ameamua kukuachana na
wewe kwani kabla ya kuanzisha mahusiano mapya inabidi ukae na ujue
nini chanzo cha kuachwa,ili ujue ni jinsi gani ya kujirekebisha ili
usipate changamoto ileile kwenye mahusiano mapya.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv