Tambua kuwa wakati wewe una sherehekea sikukuu za mwaka mpya kwa namna
yake laikini kwa wenzetu utakuwa umekosea na huruhusiwi huko korea kaskazini.
Rais wa nchi hiyo Kim Jong
Un amepiga marufuku sherehe za mwaka mpya amejaribu kufuta kuanzia siku ya
Krismas ili kumuenzi Bibi aliyekuwa mwanaharakati wa nchi hiyo kipindi cha
nyuma katika uongozi wa kikomonisti.
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim
Jong-Un amepiga marufuku sherehe za Krismasi na mwaka mpya kusherekewa nchini
humo kwa mujibu wa habari ya India Times ni kuwa badala ya kusherekea kuzaliwa
kwa Yesu kulingana na imani ya wakristo, raia nchini humo watatenga siku hiyo
kumuenzi bibi ya Kim .
Kim ambaye pia ni mwanaharakati wa
kikomunisti amefahamisha kuwa bibi yake atatambulika kuwa ‘Mama mtakatifu wa
mabadiliko.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv