Punyeto inaweza
kudhibitika kabisa kama matatizo mengine yeyote. FANYA YAFUATAYO....
Acha kuangalia video za
ponograph:
video hizi ndio
chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi
kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto
hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako..
Weka mipango ya kuzuia
kupiga punyeto wakati wa kuoga:
bafuni ndio sehemu ambayo
inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya
kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo
mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto.
Epuka kukaa nyumbani peke
yako;
mara nyingi kukaa peke
yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na
watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine.
Fikiria kuhusu madhara
yake:
kila aliyewahi kupiga
punyeto kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa,
kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea kutopiga punyeto.
acha kusema eti hii
punyeto ni ya mwisho:
siku zote wapiga
punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena.
Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara
moja.
Tafuta mpenzi kama huna
kabisa:
ukiwa na mpenzi
madhara ya punyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa
kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa
mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo
kuacha kabisa punyeto. pia unaweza kumshirkisha mwenzi wako tatizo lako ili
akusaidie kuacha.
anza mazoezi na
jishughulishe na mambo mengine:
hii itakufanya ue bize
na mambo mengine na utumie mda wako mwingi huko, pia mazoezi ya
jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda
kulala.
mwisho kwa maelezo na ushauri zaidi bofya hayo
maneno ya kijani kusoma lakini pia unaweza pitia link hii kusoma matibabu kwa
waathirika wa punyeto
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv