Jiweke nadhifu
Hii ni muhimu katika yote
kama wataka mwanaume akutambue. Mwanaume kitu cha kwanza anachokiangalia huwa
ni mwonekano wa mwanamke. Mwanaume anapoingia katika chumba, inamchukua sekunde
ndogo zana kuamua iwapo anataka kuapproach mwanamke mfani au la. Kama umevalia
vizuri na unapendeza, itarahisisha kazi yako sana.
Usionekane kama una shughli
Usijishughlishe sana na
simu yako, ama kitabu chako, ama kitu kingine. Unaweza kuwa umeboeka na
unajaribu kujiweka buzy, lakini fursa haiweza kuwa hivi, kufanya hivyo kunaweza
kumfanya mwanaume anayetaka kukuapproach kuona ya kuwa uko buzy sana kiasi cha
kuwa atashindwa kukufuata kwanu unaweza usiwe interested na maongezi yake.
Kuwa mko ligi moja?
Hii inakinzana na hatua
ya kwanza, lakini inaweza kuwa na tatizo iwapo unaoneka kama uko ligi tofauti
na mwanaume. Kama utaoneka amakujiweka mtu wa hadhi ya juu wanawake watapenda
kukuangalia lakini hawatakuaproach.
Hii ni kwa sababu wanaume
wengi hawapendi kudhalilishwa wakati wanapoamua kukuapproach....kiufupi ni kuwa
ukiwa unavutia kupindukia wanaume watakuogopa.
Lakini tena, kuna
wale wanaume ambao wanajiamini kupindukia ambao wanajua thamani ya kukuapproachi,
nao ni wanaume alfa, wanaume
diriki, na pia wale wanaume mapleya.
Kama wataka kuteka atenshen ya mwanaume mzuri
wa kawaida lakini anayeogopa kukuapproach, jaribu kutumia mbinu ya kuwa jamili
na watu wanaokuzunguka. Huwa inasaidia.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv