Lazima  tukubaliane kuwa Makalio ndiyo yanayotoa shepu fulani kwa mwanamke katika vazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza hata yale makalio yanayosifiwa sana.
Wanawake wengi kwa sasa wanapenda kurekebisha makalio yao ili kuyapatia ukubwa unaostahili kwa jinsi wao wanavyopenda.
Dk Constantino Mendieta mpasuaji  wa masuala ya urembo wa Miami amethibitisha utunzaji wa makalio daraja la kwanza ndiyo yanayotakwa sana. Ni kama vile umeuchukua moyo halafu ukaugeuza chini juu,haya ndio dizaini ambayo Marekani wanalilia sana.

Basi Kama unataka kuwa na shepu zuri fuata hatua zifuatazo:

1. Fanya masaji na losheni zinazoimarisha na kutengeneza ngozi nyororo katika mapaja yako,ukianzia chini ya makalio mara mbili kwa siku.

2. Ondoa miinuko midogo midogo isiyotakiwa nyuma yako kwa kuskrabu mara mbili au tatu kwa wiki ukiwa na salt scrub.

3. Pamoja na matatizo ya michuchumio,ivae ili kukupa  nafasi ya kutembea kwa miondoko ya twiga inayotoa nafasi nzuri kwa makalio kuwa na mvuto.

4. Tafuta namna nzuri ya kuficha michirizi ya kunyooka kwa misuli ya mwili.


5. Mazoezi yatakufanya uwe mtu tofauti zaidi, pandisha ngazi kwa dakika kumi au zaidi na kisha chukua mazoezi ya kubana makalio yako na sehemu ya kiuno kwa kusukuma kwa ndani na kutulia hivyo kwa sekunde tano na kujiachia na unaweza kufanya hivyo unavyotaka.

6. Pia unaweza kuongeza uzuri wa makalio yako kwa kuhakikisha kwamba unakula vyema na unakula lishe inayostahili.
 
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz  , twiter@edonetz  , inst@edonetz_blog  na  youtube@edone tv
 
Top