Wanasayansi
maarufu hapa duniani wamegundua kuwa watu wanene wanapata raha zaidi
katika tendo la ndoa ukilinganisha na watu wembamba. Mwanasayansi huyo
aitwaye Dk. James Watson ambaye amekwishawahi kushinda tuzo za NOBEL kwa
ubingwa wake ulipelekea ugunduzi wa muundo wa DNA, anaamini kabisa kuwa
watu wanene wana uwezo
mkubwa wa kufurahia tendo la ndoa kuliko wembemba.
Watu wanene
wanazo sababu za kibaolojia zinazowafanya waweze kupata raha zaidi
wafanyapo tendo la ndoa, katika uchunguzi wake wa kemikali
mbalimbali zilizomo kwenye mwili wa mwanadamu Dk. Watson ameona kuwa
mafuta ya mwili yanaongeza kemikali iitwayo ENDORPHIN inayosababisha mtu
ajisike raha.
Kwa watu
wembamba aligundua kuwa upungufu wa mafuta mwilini ulisababisha ubongo usipate
ENDORPHINS za kutosha hivyo kupelekea kuwepo na upungufu wa raha katika
tendo la ndoa. Watu wanaosema kuwa kufanya tendo la ndoa na watu wanene
hakuna raha na ni kazi ngumu ni waongo kabisa.
Ukweli ni
kwamba raha ya tendo la ndoa haipungui utamu wake kutokana na unene wa
mtu, bali hupungua kutokana na ukosefu wa ufundi na hofu zisizo na msingi
wowote. Hofu ya kushindwa kumridhisha mwenzio siku zote lazima itakuzuia
usipate raha kamili katika jambo lolote lile.
Ukosefu wa
ufundi wa kufanya tendo la ndoa huleta hofu na hata kiasi kidogo tu cha
hofu huweza kusababisha mtu kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi na
hivyo kushindwa kupata raha kamili.
Dk. Helen
Singer ambaye ni mwanasaikolojia anasema kama
mwanamume huyu atakuwa hajui umuhimu wa kinembe kilicho sehemu ya juu ya
uke akafanya tendo la ndoa na mwanamke mnene atashindwa kabisa
kumridhisha mwanamke huyo, mwanaume wa aina hiyo akishasimamisha uume
wake atauingiza kwa mwanamke na harahara atapizz (kumwanga shahawa)
bila kufikiria kuwa mwanamke huyo atakuwa bado hajafika kileleni.
Wanawake wengi
wanene wameogopa kuanzisha mahusiano na wanaume kwa hofu ya kudharauliwa
na hata wakifanikiwa kuanzisha uhusiano wanakuwa na wasiwasi kuwa uhenda
wataachwa kwa sababu ya maumbile yao makubwa.
Utawaona
wanawake wanene wakivaa mavazi yasiyoleta mvuto kwa wanaume kwa sababu
imani kuwa kwa sababu ya unene wao hawapendeki. Wanawake wengine wapatapo
wapenzi wakati wa kufanya mapenzi hupendelea kufanya mapenzi baada ya taa
kuzimwa, wanaona giza litaficha ubaya wa unene wao, jambo ambalo huondoa
kujiamini na kupunguza mvuto kwa mwanaume yeyote.
Wanawake wengi
wanene wanajiona kuwa hawathaminiki kwa wanaume kutokana na unene wao,
hali hiyo husababisha kuharibu mvuto wao na wengi huachwa sio kwa sababu
ya unene wao, bali kwa sababu ya kukosa uchangamfu utokanao na hali ya
kujiamni. Mtu akiwa na historia ya kuachika anajenga hofu ya kuchika
katika uhusiano wowote ule na hofu humfanya apoteze matumaini.
Hali ya
kutokuwa na matumaini humpunguzia nguvu ya kujiboresha yeye mwenyewe na
kuboresha uhusiano anaoanzisha. Iwapo wanawake wanene hawaamini kuwa wao
pia wanastahili mambo mazuri zaidi, basi watabaki katika tundu lenye
huzuni na msikitiko tele alimalizia Dk. Hellen.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv