Tuzungumzie kidogo
kuhusu masuala ya mahusiano pia kutokana na sekta hiyo kuwa na umuhimu wake pia
katika maisha ya mwanadamu.
Leo ni vyema tuanze
kuongea na wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume
katika sita kwa sita.
Wanamke unapaswa kuwa
jasiri na mwenye kuamini katika kile unachofanya katika mapenzi, ambapo wewe
mwanamke unatakiwa mkishafika katika uwanja wenu wa zoezi husika katika sikiu
hiyo, Hakikisha unajitahidi wewe kuanza kumvua nguo mwanaume, huku ukimshika
baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili wake ambazo unaamini zitamsababishia
msisimko mkubwa.
Baada ya zoezi hilo
nawe pia mwanamke unaweza kutoa nguo zako kisha mkumbatie mmeo , huku
mkigusanisha ngozi za miili yenu. Tambua ya kwamba ngozi huwa na mishipa midogo
midogo yenye ufahamu ambayo hutoa taarifa mbalimbali za mwili kwenye ubongo,
hivyo kitendo cha miili yenu kugusana huchangia kuibua hisia za kimapenzi
zaidi.
Unapoona tayari
mwanaume yupo tayari katika hali ya hisia kali za kimapenzi kabla ya kumruhusu
akuingilie unaweza kuendelea kumshika baadhi ya sehemu za mwili mfano ndevu,
sehemu zake za siri na mkune kwenye viganja vyake na mapaja na nk.
Fahamu ya kwamba
mapaja ya mwanaume huwa na hisia kali, hivyo unaweza kuyashika zaidi kwa ustadi
mkubwa, huku ukitumia vidole vyako na utaona akisisimka zaidi.
Sehemu nyingine ambayo
itakusaidia wewe mwanamke kuweza kumsisimua vizuri mwanaume ni kwa kumshika
maeneo ya kifuani kuelekea tumboni maeneo hayo huwa na msisimko mkubwa kwa
wanaume walio wengi.
Eneo jingine lenye
hazina kubwa na ya msisimko wa mapenzi kwa wanaume ni sehemu ya uume ambapo
mwanamke huweza kushika ile sehemu ya mbele (kichwa cha uume) ambapo humfanya mwanaume kupata msisimko wa
kimapenzi kwa haraka zaidi.
Uwapo katikati ya
tendo hakikisha unkuwa serious na zoezi hilo, huku ukijitahidi kuepuka kucheka
kwa jambo lolote lile hata pale mwenzi wako anapotoa sauti za kufurahisha
wakati wa katikati ya tendo.
Pamoja na hayo,
mwanamke uwapo katikati tendo hilo na mwenzi wako jitahii sana kujiachia maungo
yako kwa mmeo, kwani kwenye tendo hilo la ndoa huwa hakuna uheshimiwa hivyo ni
vyema ukajiachia.
Katika tendo la ndoa
pia sauti na maneno ya kimahaba ni muhimu sana wakati wa tendo la
ndoa kwani huongeza hamasa katika tendo hilo.
Baada ya kumaliza
tendo hilo kumbuka kusema asante na mpe pole mwenzi wako kwa kazi pevu,
kisha chukuwa kitambaa na mkaushe kijasho cha utamu wa penzi kwa taulo
uliloandaa maalum.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv