Leo
ndani ya edonetz nimeona nikuletee baadhi ya sababu ambazo huchangia tatizo
hili la kuwahi kufika kileleni;
1. Msongo wa mawazo ni sababu ambayo huweza kuchangia tatizo hilo, wanaume wengi huishi wakiwa na msongo wa mawazo kutokana na hali ya ugumu wa maisha na sababu nyingine kadhaa. Hivyo hii huchangia tatizo hilo.
2. Kutojiamini au uoga, hali hii huwakuta wanaume wengi kwani wengi muda wote huishi kwa kudhani kuwa wanatatizo hilo na kuhisi kuwa si wakamilifu.
3. Ulaji mbovu wa vyakula Pia tatizo la kuwahi kufika mapema kileleni huchangiwa sana na ulaji mbovu wa vyakula hapa tunazumgumzia vile vyakula vyema mafuta mengi na kuachana kabisa na vyakula vya asili.
4. Kukamia sana tendo au kutofanya mazoezi ya mwili pia ni sababu ya tatizo hili kwa baadhi ya wanaume hivyo ni vyema kuzingatia kufanya mazoezi angalau japo dakika 30 kila siku.
Hizo ni baadhi ya sababu ambazo huweza kuchangia tatizo hili la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume hivyo ni vyema kujitahidi kuepukana nazo ili kuepuka tatizo hilo.

JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv