karibu
sana kamanda wangu kwa mara nyingine tena nakuletea vitu vikali hii ya leo
inatoka kwa washikaji hawa D Boy na Skubby ambao wamemshirikisha Mr. Blue kwenye hii single mpya
inaitwa ‘serereka’ na ukishaitazama
usiache kutoa comment ila usitoke kando kando yetu ili tukujuze kila kitu......
icheq apa chini kamanda
wangu.............
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv