Kila
mtu anasifa zake na vigezo vyake anavyoangalia linapokuja suala la mapenzi, ila
leo ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara.
Vipara
kwa wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda kunyoa vipara
japokuwa kuna baadhi ya sifa hapa wanaweza wakawa nazo pia.
Muonekano wa kiume:
Wanaume
wenye vipara wengi huwa na muonekana wa kiume zaidi,muonekano nadhifu
sina maana kama wanaume wengine walio na nywele ndefu ama wastani hawana
mvuto lah, nauongelea mvuto zaidi ama mvuto wa kipekee.
Ujasiri:
Wanaume
wa aina hii wengi huonekana ni wajasiri kwa muonekano wao tu, hii huwafanya
kuwa kivutio kwa wanawake.
Wana hisia kali za
kimapenzi:
Daktari
kutoka Chuo cha Yale Marekani , James B. Hamilton alisema katika utafiti wake
wanaume wengi walio na vipara miili yao huwa inazalisha mbegu nyingi za kiume
kuliko wanaume wenye nywele, japokuwa si kwa asilimia 100 alisema pia
uchunguzi zaidi bado unaendelea ili kutetea uchunguzi huo.
Hawana muda na Vioo:
Mwanaume
anaefuga nywele ndefu hutamani aonekane msafi na mtanashati kwahiyo hatokaa
mbali na kitana chake wala mbali na kioo chake, labda tu awe ana Rasta.
Mwanaume mwenye vipodozi vingi kwaajiri y aywele zake kumshinda msichana
Wastarabu :
Kuna
utofauti wa muonekano kati ya mwanaume mwenye kiduku, na suti na mwenye upara
na suti watu hawa wawili wanaweza kuonekana tofauti sababu tu ya nywele
zao,muonekano wao unaweza ongelewa tofauti mbele za watu.
Wapo tayari kwa
mabadiliko:
Kama
mtu ameweza kukubali kwamba hawezi kuwa
na nywele kama watu wengine na akaibubali hali yake, tofauti na wale wanaovaa
kofia sana na wengine nchi za nje wanavaa hata mawigi ili wasionekana
hawana nywele. Lakini wapo wanao ichukulia kama hali ya kawaida hawa ni zaidi
ya wajasiri. Wanaweza kuvumilia
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv