Mtoto wako atakapofikisha
miezi sita, ataanza kuota meno. Watoto wengine huanza kuudhika kwani
huumia kabla meno hayajatokea kwa ufizi. Watoto wengi humwaga mate sana na
hutaka kutafunatafuna vitu. Wakati mwingine watoto hutapika au kuhara wakiota
meno.
Kwa kawaida kuota meno hakufanyi mtoto kupandwa na joto. Kama mtoto wako atapata joto. Kama mtoto wako atapata joto, yaweza kuwa jambo lingine. Hakikisha umemwona daktari wa watoto.
Mawaidha wakati mtoto anaota meno
Kwa kawaida kuota meno hakufanyi mtoto kupandwa na joto. Kama mtoto wako atapata joto. Kama mtoto wako atapata joto, yaweza kuwa jambo lingine. Hakikisha umemwona daktari wa watoto.
Mawaidha wakati mtoto anaota meno
- Wakati wa kulala, weka kitambaa safi
chini ya kichwa cha mwanao ambapo ule utamwagika. Unaweza kibadilisha
kitambaa hichi kitakapo loweka ute.
- Mpatie mtoto kitu cha kutafuna
ambacho hakitamdhuru. Usimpatie kitu kidogo sana kwani anaweza kukimeza.
Unaweza kumpatia vidunde vya mpira visivyokuwa na majimaji ndani kwani
vyaweza kupasuka. Unaweza kumpa kijiko cha mpira au kitambaa safi.
- Usifungilie kidunde cha kutafuna kwa
shingo ya mwanao. Kinaweza kushikwa na kummyonga.
- Kuna dawa nyingi dukani za
kupiunguza maumivu wakati mwanao anaota meno. Hata hivyo, mwone daktari wa
watoto kabla jujampa mwanao dawa yoyote
Baada ya mwanao kuota meno hakikisha unayatunza vizuri
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv