Ongeza maarifa kuhusu Mahindi Ongeza maarifa kuhusu Mahindi

  Taarifa  zilizopo  Tanzania  kutoka   FAO   zinakadiria  kwamba  mahindi  yanalimwa kiasi cha hekta milioni 4.12 za ardhi na kuzalisha tan...

Read more »

Jifunze kuhusu Kahawa Jifunze kuhusu Kahawa

  Kahawa ilianzishwa kwanza Kilimanjaro na wamishonari Wakatoliki mwaka 1898. Aina ya Botanical imeongezeka kiuchumi Kahawa ni mojawapo ya m...

Read more »

Fahamu kuhusu Ufuta Fahamu kuhusu Ufuta

  Ufuta (simsim/sesame) ni zao la kibiashara ambalo mbegu zake zina kiasi kikubwa cha mafuta kiasi cha asilimia 45 hadi 55.Na zao hili linaw...

Read more »

Ifahamu Tumbaku Ifahamu Tumbaku

  Tumbaku ( tumbako) ni majani (minoga) makavu ya mtumbaku ambayo yanatumiwa na binadamu kwa kuvuta kama sigara, kutafuniwa mdomoni au tumba...

Read more »

MADA: Mrejesho baada ya nane ane MADA: Mrejesho baada ya nane ane

  Ni sehemu ambayo tunajadili kilimo na masoko yake Baada ya Nane nane umejifunza nini kipya? je unashauri nini kiwekewe mkazo katika kilimo...

Read more »

Wakulima wadogo kuinuliwa kiuchumi. Wakulima wadogo kuinuliwa kiuchumi.

Zaidi ya 70% ya chakula kinachozalishwa duniani,  huzalishwa na wakulima wadogo wadogo, ambao ni moja ya kundi la watu wenye kiwango kik...

Read more »

Jinsi ya kukabiliana na mdudu hatari Funza wa vitumba. Jinsi ya kukabiliana na mdudu hatari Funza wa vitumba.

Funza wa vitumba (American bollworm) ni mabuu (larva) ya mdudu jamii ya kipepeo ambayo hushambulia mmea ,ni muhimu kubaini funza kabla h...

Read more »

Faida ya kuotesha miche kwenye seed trey na udongo maalumu. Faida ya kuotesha miche kwenye seed trey na udongo maalumu.

Faida ya seedtray katika kuotesha miche ni kama ifuatavyo: 1. Inafanya mmea ukue na afya 2. Inasaidia mimea iote kwa asilimia kubwa kw...

Read more »

Mjue mdudu hatari kwa kilimo cha kisasa. Mjue mdudu hatari kwa kilimo cha kisasa.

Aphid(vidukari) ni wadudu wanaoshambulia mazao mbalimbali ,midomo yao imechongoka kama sindano ili kuwasaidia kunyonya virutubisho na ma...

Read more »

Huyu mdudu nduye anayeongoza kuua Papaya. Huyu mdudu nduye anayeongoza kuua Papaya.

Papaya mealybug ni mdudu mdogo anaefyonza majimaji ya kwenye kwenye safu ya nje ya majani , matunda na shina na anaingiza sumu ambay...

Read more »
 
 
Top